I. Download Form:
Download Joining Instructions form
Download Medical Examination form
II. Print Form:
III. Jaza Form Ulioprint:
IV. Lipia 10,000/= Ikiwa Ni Gharama Ya Form Ya Maombi:
V. Malipo Yafanyike Ktk Account Ya Chuo 0150467246600 CRDB - City College Of Health And Allied Sciences:
VI.Scan Form Uliojaza Pamoja Na Payn' Slip Weka Kwenye Pdf Au Document Moja:
VII. Tuma Scanned Documents Kwa Namba 0688965492
VIII. Mwisho Wa Kurudisha Form Ni Tarehe 28th july 2023
CITY COLLEGE-DAR ES SALAAM CAMPUS.Please Click here
CITY COLLEGE-DODOMA CAMPUS.Please Click here
CITY COLLEGE-MWANZA CAMPUS.Please Click here
Unaweza lipia kupitia NMB Bank, DCB Bank,Tigo Pesa,MPesa,Air tel money au Easy Pesa.Please Click here
APPLY ONLINE 2022/2023(DODOMA CAMPUS) CLICK HERE
Mkuu Wa Chuo Cha Afya City College Of Health And Allied Sciences Chenye Usajili Kamili Wa Nacte, Namba Reg/Has/139 Na Kutambuliwa Na Wizara Ya Afya Anawatangazia Nafasi Za Mafunzo Katika Fani Zifuatazo:
ORDINARY DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES
●Vigezo (ufaulu kuanzia alama D nne ikiwemo biolojia na kemia)
ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE
●Vigezo (ufaulu kuanzia alama D nne ikiwemo fizikia, biolojia na kemia)
ORDINARY DIPLOMA IN MEDICAL LABORATORY
●Vigezo (ufaulu kuanzia alama D nne ikiwemo fizikia, biolojia na kemia)
👉Ada Ya Mafunzo Kwa Mwaka:1,900,000/=
👉Maombi Yatumwe Moja Kwa Moja Chuoni Au Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba 0748111999 Au 0717232425
👉Chuo Kipo Dar Es Salaam Temeke-Mikwambe.
Maombi yanapokelewa chuoni moja kwa moja chuoni Mikwambe kwa Pinda - Tuangoma - Temeke - Dar es Salaam. Tembelea tovuti yetu www.ccohas.ac.tz ili kujiunga moja kwa moja kwenye mtandao(apply online) au pakua (download) Fomu ya kujiunga (Application form) na Fomu ya maelezo ya kujiunga (Joining Instructions form) fuata maelekezo ijaze na ututumie kwa njia ambayo ni rahisi kwako.
Maombi yote yatumwe kwa Mkuu wa chuo, S.L.P 90372 Dar es Salaam au kupitia barua pepe. admission@ccohas.ac.tz
Tarehe ya kuripoti chuoni Kwa watakaochaguliwa kujiunga na chuo, tarehe 15/11/2020. Ada zetu ni 2,380,000/= na unaweza kulipa kwa kidogo kidogo kwa Awamu NNE.
Kwa mawasiliano zaidi piga nambari 0758841843
Wote wenye sifa mnakaribishwa Imetolewa na Mkuu wa CHUO CCoHAS DAR ES SALAAM
Admission for the academic year 2019/2020 please Apply nowClick here
Please download application form,Admission form/Joining Instruction/ADO and Medical form Click here
Please generate reference number for school fee payments Click here
Our students will have enough and good exposure to variety of practical skills. We have our Lab which is fully utilized for student practice under supervision and guidance of our qualified lecturers and tutors.